Kamera ndogo, lakini yenye uwezo mkubwa! Fuatilia kila kinachoendelea nyumbani, ofisini au kwenye gari lako kwa njia ya kisasa kupitia simu yako. Sifa kuu: WiFi Remote Access: Unaweza kuona live popote ulipo Rekodi ya Video kwa HD: Picha/video zenye ubora wa hali ya juu Dual Cameras (Kamera Mbili): Mwangaza mpana wa hadi 170° Remote Intercom: Unaweza kuongea na mtu aliye karibu na kamera HD Photography & Night Vision: Inaonyesha vizuri hata gizani Inasaidia Kadi hadi 128GB (memory card) Inafanya kazi hata kukiwa na tatizo la umeme App Control: Dhibiti kila kitu kupitia simu yako Compact & Portable: Ndogo sana, inaweza kufichwa vizuri Mtindo wa matumizi: Kuvaliwa shingoni, selfie stick, drone, gari, ofisi, nyumbani Inafaa kwa: Wazazi wanaotaka kufuatilia watoto nyumbani Wamiliki wa biashara/ofisi Wale wanaotaka security ya nyumbani au kwenye gari Vloggers na waandishi wa habari
Price: TSh 60000.0
Posted by: ItrackPro
University: University of Dar es Salaam
College: College of Engineering and Technology
Block: 6
Room Number: 15
Seller Level: Free
Phone Number: +255743066792