You can view this course without enrolling. Your progress won't be saved unless you login and enroll.
Mada muhimu:
Uuzaji ni nini?
Mienendo ya mnunuzi wa leo.
Mbinu za kufungua mazungumzo.
Mazoezi:
๐น Eleza kwa mfano wauzaji 3 unaowajua na tabia zao.
๐น Andika sentensi 5 za ufunguzi wa mazungumzo na mteja mpya.
Utafiti wa soko.
Kutambua wateja watarajiwa (Prospecting).
Kufanya miadi.
Kufanya uwasilishaji wa bidhaa/ huduma.
Kufunga mauzo.
Huduma baada ya mauzo.
Vitendo:
๐ Tengeneza “Sales Funnel” kwa biashara yoyote unayojua.
๐ Orodhesha hatua unazochukua kugeuza mteja wa kwanza kuwa mteja wa kurudia.
Mbinu za kuuliza:
โ Maswali ya wazi vs Maswali ya kufungia
โ Maswali ya kuchunguza matatizo
โ Maswali ya kuchunguza malengo
Vitendo:
Tengeneza orodha ya maswali 15 ya kutumia wakati wa mazungumzo ya mwanzo na mteja.
Unyenyekevu vs Uwezo wa kushinda
โ Maadili ya kushindana
โ Kuzingatia mahitaji ya pande zote
โ Kutengeneza chaguzi (options)
๐น BATNA – Best Alternative To a Negotiated Agreement
๐น Kuamua kiwango chini ya kukubali
๐น Mbinu za kushughulikia upinzani
Mazoezi ya Majadiliano (Roleplays):
๐ Jijengee hali ifuatayo na mtu mwingine:
Wewe ni muuzaji wa huduma ya IT, yeye ni mteja anayependelea punguzo.
Jadili bei na masharti kwa dakika 10.
Sauti, misimamo, lugha ya mwili
Kusikiliza kwa makini
Kujibu pingamizi kwa ustadi
Vitendo Vya Singhari:
๐ Rekodi ufanye mazungumzo ya mauzo, kisha uichambue:
โ Ulisikia vipi?
โ Ni wapi uliweza kuboresha?
Vipengele:
โ Utangulizi wa thamani
โ Matokeo yanayotarajiwa
โ Bei na masharti
Mfano wa Template ya Proposal
Mazoezi: Andika proposal kwa wateja 2 tofauti kwa biashara yoyote.
โก Kigezo cha Ubadilishaji (Conversion Rate)
โก Wateja wapya na waliopo
โก AOV – Average Order Value
Mazoezi ya Data:
๐ Chukua data ya mauzo yako ya mwisho wa mwezi uliopita (au mfano) — tafsiri mwenendo.
No content available for this module yet.
Uuzaji (Sales) ni mchakato wa:
๐ Kumtambua mteja
๐ Kuelewa tatizo au hitaji lake
๐ Kutoa suluhisho kupitia bidhaa au huduma
๐ Kujenga uhusiano wa muda mrefu
๐ Uuzaji sio kulazimisha mtu anunue, bali ni kusaidia mteja afanye uamuzi sahihi.
Muuzaji mbaya: “Nunua hii, ni nzuri sana.”
Muuzaji mzuri: “Unakutana na changamoto gani kwa sasa?”
Mnunuzi wa leo ni tofauti na wa zamani.
โ Ana taarifa nyingi (Google, mitandao ya kijamii)
โ Hapendi kushinikizwa
โ Anataka thamani, sio bei tu
โ Anauliza maswali mengi
โ Anaamini ushuhuda (reviews & recommendations)
Lazima uwe mshauri, sio msukuma bidhaa
Sikiliza zaidi, ongea kidogo
Eleza faida, sio sifa pekee
Kufungua mazungumzo vizuri huamua:
๐ Kama mteja atasikiliza
๐ Kama atakuamini
๐ Kama mazungumzo yataendelea
“Ni changamoto gani kubwa unakutana nayo kwenye …?”
“Wateja wengi tunaozungumza nao wanapata shida ya … Je, na wewe ni mmoja wao?”
“Tunasaidia biashara kama yako kuongeza mauzo kwa zaidi ya 30%…”
“Tumefanya kazi na kampuni kama yako na matokeo yalikuwa …”
“Mimi ni ___ kutoka ___. Tunasaidia ___ kufanikisha ___.”
โ Anaongea kwa sauti kubwa
โ Anajua bei na bidhaa vizuri
โ Anajadiliana bei haraka
โ Wakati mwingine hushinikiza mteja
โ Anaongea kwa heshima
โ Ana script
โ Anajua kujibu pingamizi
โ Akizungumza sana bila kumsikiliza mteja
โ Anaelezea faida kwa kina
โ Anauliza maswali
โ Anajenga uaminifu
โ Mchakato wa kufunga mauzo huwa mrefu
1๏ธโฃ “Karibu sana, ningependa kufahamu unatafuta nini hasa leo?”
2๏ธโฃ “Je, unakutana na changamoto gani kwa sasa katika biashara yako?”
3๏ธโฃ “Wateja wengi kama wewe wanahitaji suluhisho la ___, na wewe je?”
4๏ธโฃ “Naweza kukuuliza, ni kitu gani muhimu zaidi unachozingatia kabla ya kununua?”
5๏ธโฃ “Tuna suluhisho ambalo limesaidia wateja wengi kama wewe, ungependa nikueleze kidogo?”
โ Uuzaji = kusaidia, sio kulazimisha
โ Mnunuzi wa leo ana taarifa nyingi
โ Mazungumzo mazuri huanza na swali au thamani
โ Sikiliza zaidi kuliko kuzungumza
No content available for this module yet.
No assessments have been created for this course yet.
ChuoSmart Notifications
Stay updated with the latest products, courses, and messages by enabling notifications.