Kozi ya Graphic Design Basics

Kozi ya Graphic Design Basics

Free Course
General Course

Course Modules

Viewing Preview

You can view this course without enrolling. Your progress won't be saved unless you login and enroll.

You're previewing this course. Login to enroll to save your progress.

1. Utangulizi wa Kozi

Kozi hii imeundwa kwa ajili ya watu wanaotaka kujifunza msingi wa graphic design ili waweze kutengeneza picha, posters, banners, na content ya digital marketing. Kozi inajumuisha mbinu rahisi na programu zinazojulikana kama Canva na Photoshop. Lengo ni kumwezesha mwanafunzi kutumia ujuzi huu katika biashara, freelancing, au kuendeleza brand yake binafsi.

Kwa Nani Kozi Hii?

  • Wajasiriamali na wamiliki wa biashara ndogo

  • Wauzaji wa bidhaa mtandaoni

  • Content creators na influencers

  • Vijana wanaotaka kuanzisha freelance work

  • Watu wanaopenda kujifunza graphic design kwa vitendo

Malengo ya Kozi

Baada ya kumaliza kozi, mwanafunzi ataweza:

  • Kutumia Canva na Photoshop kwa ufanisi

  • Kutengeneza graphics rahisi za social media, posters, na banners

  • Kuboresha picha na kuongeza branding

  • Kuelewa misingi ya design (color, fonts, layout)

  • Kuunda content ya marketing kwa biashara au freelance work


2. Module 1: Utangulizi wa Graphic Design

  • Maana na umuhimu wa graphic design

  • Aina za graphic design: digital, print, branding

  • Overview ya tools maarufu: Canva, Photoshop, Illustrator


3. Module 2: Misingi ya Graphic Design

  • Elements of design: color, typography, images, space

  • Principles of design: balance, contrast, hierarchy, alignment

  • Kutumia templates na kuunda layout


4. Module 3: Kutumia Canva kwa Beginners

  • Kuanzisha akaunti na navigation ya interface

  • Kutumia templates tayari

  • Kubadilisha rangi, fonts, na picha

  • Kuongeza logos na icons

  • Exporting na saving designs


5. Module 4: Kutumia Photoshop kwa Beginners

  • Introduction to interface na basic tools

  • Layers, text, and image adjustment

  • Cropping, resizing, na background removal

  • Exporting graphics kwa social media na print


6. Module 5: Social Media Graphics

  • Kutengeneza graphics za Instagram, Facebook, TikTok

  • Cover photos na post templates

  • Mobile vs desktop design tips

  • Branding na consistency


7. Module 6: Posters, Flyers, & Banners

  • Kutengeneza posters rahisi za events au promotions

  • Choosing colors, fonts, and images

  • Layout & alignment tips

  • Exporting kwa print au digital use


8. Module 7: Branding Basics

  • Brand colors, typography, na logo usage

  • Creating templates for business

  • Consistency in design across platforms

  • Designing simple business cards and headers


9. Module 8: Practical Projects & Portfolio

  • Designing 3 social media posts

  • Creating 1 poster/flyer

  • Combining elements into a mini brand kit

  • Building a basic portfolio for freelance work

No content available for this module yet.

Quizzes & Assessments

No assessments have been created for this course yet.

Instructors

  • Captain
    +255659256606

Course Information

  • Course Type General Course
Chat with us!
Home Shop Blog Jobs Cart Search
ChuoSmart ChuoSmart Notifications

Stay updated with the latest products, courses, and messages by enabling notifications.