You can view this course without enrolling. Your progress won't be saved unless you login and enroll.
Chunking: Gawanya taarifa ndefu kuwa sehemu ndogo ndogo zinazoweza kukumbukwa.
Mfano: Nambari 123456789 inaweza kugawanywa kuwa 123-456-789.
Repetition (Kurudia): Rudia taarifa mara kadhaa kwa vipindi tofauti ili kuiweka kwenye long-term memory.
Association: Unganisha taarifa mpya na ile unayoijua tayari.
Mfano: Kucheka kwa mtu unayemjua unapokumbuka jina lake.
Tumia ramani ya akili kuunganisha wazo kuu na ndogo.
Jina kuu liko katikati, mawazo madogo yakizunguka, ukiweka rangi na icons huongeza kumbukumbu.
Hii inasaidia kuona muundo wa taarifa na kuibadilisha kuwa picha ya akili.
Faida:
Inasaidia kupanga mawazo
Kuboresha ufahamu wa jumla
Kuongeza urahisi wa kukumbuka
Tumia maneno, sentensi, au picha kukumbuka taarifa ngumu.
Acronyms: Mfano: “HOMES” kwa maziwa ya Maziwa ya Lake (Huron, Ontario, Michigan, Erie, Superior)
Rhymes & Songs: Badilisha taarifa kuwa wimbo au methali rahisi kuikumbuka
Visualization: Unda picha ya akili inayohusiana na taarifa
Pomodoro Technique: Fanya kazi/masomo kwa dakika 25, pumzika 5. Rudia mara 4, kisha pumzika 15–20.
Eliminate distractions: Fanya environment yako ya kujifunzia isiyo na kelele au simu karibu.
Active Recall: Jaribu kukumbuka taarifa bila kuangalia vitabu au notes mara kwa mara.
Teach What You Learn: Eleza kwa mtu mwingine kile ulichojifunza, hii huimarisha kumbukumbu yako.
No content available for this module yet.
No assessments have been created for this course yet.
ChuoSmart Notifications
Stay updated with the latest products, courses, and messages by enabling notifications.