Unatafuta kazi serikalini? Usipoteze muda kuzunguka bila mwelekeo!
Sasa hivi, serikali ya Tanzania inatangaza nafasi za kazi kupitia mfumo rasmi unaoitwa:
Ajira Portal
https://portal.ajira.go.tz
Hapa Ndipo Unatakiwa Kufanya Yafuatayo:
Tengeneza akaunti yako kwa taarifa sahihi
Weka CV, vyeti, na taarifa zako za kitaaluma
Apply nafasi mbalimbali za kazi pale zinapotangazwa
Faida za Ajira Portal
Nafasi nyingi hutangazwa kila mwezi
Ni njia ya moja kwa moja kwenda kwenye taasisi za serikali
Hutumika na Public Service Recruitment Secretariat (PSRS)
Ni bure kabisa – hakuna malipo yoyote ya kujisajili!“Nilijisajili baada ya kumaliza chuo… mwaka mmoja baadaye nikapata kazi ya serikali kupitia portal hii!” – Asha, Mhitimu wa IFM
Sambaza kwa wanafunzi wenzako – kazi zipo, ila wengi hawajui wanakoanzia Link moja tu https://portal.ajira.go.tz
#AjiraPortal #NafasiZaKazi #Wahitimu #Serikali #AjiraTanzania