Mbeya University of Science and Technology (MUST)
Taarifa Kamili kutoka chuosmart.com
Jina Kamili: Mbeya University of Science and Technology (MUST)
Aina ya Chuo: Chuo Kikuu cha Umma
Kauli Mbiu: Endeavoring to Lead in Science and Technology
Mwaka wa Kuanzishwa: 2012 (kilianza kama Mbeya Technical College mwaka 1986)
Makamu Mkuu wa Chuo: Prof. Aloys Ntanturo Mvuma
Tovuti Rasmi: https://www.must.ac.tz
Mahali: Mbeya Mjini, Tanzania
Kozi Zinazotolewa
MUST inatoa programu mbalimbali katika ngazi zifuatazo:
-
Shahada za Uzamili (Masters):
Master of Science in Accounting and Finance, Marketing and Public Relations, Procurement & Supply Management, n.k. -
Shahada za Kwanza (Bachelor Degrees):
Uhandisi (Engineering), Sayansi (Science), Teknolojia (Technology), Biashara (Business), na Elimu (Education) -
Diploma na Vyeti:
Kozi za kitaaluma katika fani mbalimbali -
Kozi Fupi:
Mafunzo ya muda mfupi kwa wataalamu wanaohitaji kuongeza ujuzi
Kwa orodha kamili ya programu tembelea https://www.must.ac.tz
Miundombinu
Chuo kina mazingira bora ya kujifunzia ikiwa ni pamoja na:
-
Maabara za kisasa
-
Maktaba kubwa ya kisasa
-
Malazi kwa wanafunzi
-
Huduma za afya
-
Huduma ya intaneti
Mawasiliano
-
Barua Pepe: info@must.ac.tz
-
Simu: +255 25 250 2861
-
Anuani: P.O. Box 131, Mbeya, Tanzania
Chanzo cha Habari: chuosmart.com
#MbeyaUniversity #MUST #VyuoVikuuTanzania #ChuoKikuuMbeya #ChuoSmart #ElimuTanzania
#ScienceAndTechnology #KoziZaVyuo #ChuoChaUmma #StudyInMbeya